NENO LA MUNGU
1.Neno la Mungu ni Chakula 1Pet2:2
2.Neno la Mungu ni Mbegu
3.Neno la Mungu ni Maji Isa 55:10
4.Neno la Mungu ni uponyaji/hutupa afya Mith 4:21
5.Neno la Mungu hutupa ushindi dhidi ya dhambi Zab 119:11
6.Neno la Mungu hutupa ushindi katika majaribu Zab 120
No comments:
Post a Comment